Katiba ya Tanzania ni offline applicaion ambayo inakuwezesha kusoma katiba ya Tanzania inayotumika sasa huku ukiweza kushare na jamii yako kupitia mitandao ya kijamii, barua pepe, sms za kawaida nk. Katika mchakato wa kupata kaatiba mpya hii ya sasa inabidi kwanza ieleweke vizuri sana miongoni mwa watanzania.
コメント