UMOJA RADIO

UMOJA RADIO

パッケージ:
com.listen2myapp.umojaradio
ダウンロード:
500
サイズ:
13 MB
Android 要件:
4.0.3 以上
アップデート:
2019年3月10日
11
最新バージョン:
2.6
年齢:
無料 ダウンロード

UMOJA RADIO ni kituo cha matangazo ya kiswahili nchini Uholanzi. Moja ya malengo yetu ni kudumisha na kuendeleza lugha yetu ya kiswahili ulimwenguni pote. Lengo lingine ni kusaidia wajane, mayatima kuhusu mambo ya elimu na maitaji mengine. Pia kuonyesha umuhimu wa mila za ki Afrika kwa wazungu na wa Afrika kutambua mila nzuri na potovu za wazungu.

コメント

類似のアイテム

のアプリ MediaHosting LTD