Tumwabudu Mungu Wetu katika roho na kweli. Tenzi za Rohoni ni kitumizi cha simu za mkononi ambacho kina nyimbo zote za kitabu cha kikristo Tenzi za Rohoni. Sasa unaweza kumsifu Mungu ukiwa mahali popote kupitia simu yako ya kiganjani. Utahitaji mtandao wa data kwa mara ya kwanza tu. Sanikisha sasa na uweze kumpa Mungu sifa na utukufu.